Wizara ya Maji kwa kushirikiana na Chemba ya Migodi Tanzania pamoja na watalaam wa Kampuni ya Uhandisi ya City wameshirikiana kuandaa mafunzo ya siku tatu (3) yatakayoshirikisha wataalam kutoka Sekta ...
KUNA mechi mbili za Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) zinachezwa leo Ijumaa huku ile ya KMKM dhidi ya Mafunzo kwenye Uwanja wa Mao A kisiwani Unguja, imekaa kimtego ikisubiri kutoa hukumu kutokana na msimamo wa ...
Lengo ni kufahamu majeshi kadhaa ya Afrika na mbinu zilizothibitishwa na jeshi la Ukraine katika mzozo wake na Urusi, ambao umedumu kwa zaidi ya miaka minne. Siku chache zilizopita, Marekani ...
Tukielekea Siku ya Wanawake Duniani itakayoadhimishwa kesho Machi 8 leo tunakupeleka Tanzania kama ilivyo katika jamii nyingi za vijijini, masuala ya umiliki wa ardhi mara nyingi huonekana kuwa haki ...
Mkuu wa tiba Jeshini Meja Jenarali Amri Mwami akizungumza wakati wa ufungaji wa mafunzo ya ukufunzi wa Maofisa Wanadhimu wa Umoja wa Mataifa leo jijini Dar es Salaam. Dar es Salaam. Mafunzo ya ...
Katika Taasisi ya Ujuzi ya Maendeleo ya Kazi- UICD- iliyoko Mashariki mwa jiji la Nairobi,nchini Kenya vijana wanajifunza ubunifu mbalimbali kwa kutumia Teknolojia ya Akili mnemba yaani artificial ...
Chuo cha Mafunzo ya Ulinzi wa Amani Tanzania (TPTC), kwa kushirikiana na Umoja wa Mataifa (UN) kimezindua rasmi mafunzo ya ukufunzi kwa wanadhimu wa Umoja wa Mataifa. Mafunzo hayo yameanza tarehe 7 ...
SERIKALI imesema itaendelea kutoa mafunzo ya mtaala uliboreshwa kwa walimu wote nchini ili kuhakikisha wanakuwa bora katika eneo la ufundishaji na ujifunzaji shuleni. Pia imewataka walimu wote ...
IRINGA: WALIMU wa shule za msingi Manispaa ya Iringa wameanza kupatiwa mafunzo ya siku tatu kuhusu mbinu mpya ya kufundisha Kiingereza kwa kutumia mfumo wa Jolly Phonics. Mfumo huo unaolenga ...
INE Security: Practical, immersive training environments help defense contractors meet DoD cybersecurity requirements. Defense contractors are facing increased pressure to meet the Department of ...
Intelligence Artificial (AI) inahitaji data na mengi yake. Kukusanya taarifa zinazohitajika sio changamoto kila wakati katika mazingira ya leo, na seti nyingi za data za umma zinapatikana na data ...